Wednesday, April 20, 2016

Msanii Bongo Muvi Afariki Akijifungua


DAR ES SALAAM

Ni simanzi! Nyota ya msanii Leila Gabriel ‘Lissa’ ambayo ndiyo kwanza ilikuwa imeanza kuchomoza kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, ilizimika ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya msanii huyo kupoteza maisha muda mfupi baada ya kujifungua kwenye Hospitali ya St. Benard, Kariakoo jijini Dar es Salaam. 

  • Filamu alizowahi kucheza?
  • Aishiwa nguvu wakati wa kujifungua.
  • Aabainika kutokuwa na damu ya kutosha.
  • Madaktari washindwa kumfanyia upasuaji
  • Bahati nzuri ajifungua salama.
  • Apatwa balaa lingine baada ya kujifungua, afariki dunia.
  • Mama wa Marehemu afunguka mazito kuhusu kifo cha mwanaye.
  • Simulizi ya kifo chake inasikitisha sana!

“Inauma sana, mwanangu amefariki kwa maumivu maana shida ilikuwa ni ambulance, kama ingepatikana kwa wakati naamini angepona lakini ndiyo hivyo tena, kazi ya Mungu haina makosa,” alisema mama huyo kwa uchungu huku akitokwa machozi.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger