DAR ES SALAAM:
Huzuni kubwa! Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Amatus Liyumba (68), aliyefariki dunia juzi, anadaiwa alisali kuungama dhambi zake, nusu saa kabla ya kukutwa na umauti.
- Liyumba alikuwa akisumbuliwa na maradhi ambayo hayakuwa wazi.
- Siku tatu kiabla ya kifo, Liyumba alionekana akiendesha gari mwenyewe jijini Dar es Salaam.
- Ndugu wagoma kutaja kutaja hospitali ambayo marehemu alitibiwa mara ya mwisho
- Kumbe Mwaka 2008, Liyumba aliwahi kuanguka akiwa ofisini kwake.
- Kesi yake Mahakamani alivyoisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 221 mpaka kufungwa jela.
- Alivyopata msala mwingine akiwa Gerezani Ukonga.
- Maisha yake Gerezani mpaka kumaliza kifungo hicho.
- Baada ya kutoka jela akumbwa na balaa jingine la aina yake.
- Jifikishwa tena Mahakamani kwa mara nyingine.
- Maisha yake yalikuwa ni zaidi.
- Ni majonzi makubwa.
SOURCE: GPL
0 comments:
Post a Comment