Wednesday, October 7, 2015

Video: Kilichonaswa kwenye Talaka ya Flora Mbasha na Mumewe...!


October 6 2015 waimbaji wa gospel ambao ni wanandoa, Flora Mbasha na mumeweEmmanuel Mbasha walifika Mahakamani kwenye kesi ya madai ya talaka iliyofunguliwa na Flora zaidi ya mwaka mmoja uliopita na maamuzi haya ndio yakatangazwa yote yapo kwenye hii video hapa chini. 
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger