Wakiwa wanasubiria kujua kama wataibuka washindi kwenye tuzo za MTV MAMA zinazofanyika weekend hii jijini Durban, SA, Diamond na Vanessa Mdee wametajwa tena kuwania tuzo za African Entertainment za nchini Marekani.
Diamond ametajwa kuwania vipengele viwili cha kwanza kikiwa ni Hottest Male Single of the Year ambapo wimbo wake ‘Ntampata Wapi’ unashindana na Aye wa Davido, Original wa Fally Ipupa, Get Low wa Dellon Francis na Lobi wa R2bees.
Tuzo nyingine anayowania Diamond ni ya Best Male Artist of the Year anayoshindana na Fally Ipupa, Eddy Kenzo, Wizkid na Sarkodie.
Vanessa anawania tuzo ya Best Female Artists of the Year akishindana na Victoria Kimani, Yemi Alade na Bucie.
Mwisho wa kupiga kura ni August 30 na tuzo zitatolewa October 31.
**
Jinsi ya kupiga KURA
Click Link/ website ifuatayo
https://www.surveymonkey.com/s/VOTEAEA2015
Ukisha ingia kwenye hiyo link utakuta List nzima ya vipengele bonyeza kwa kuchagua vipengele alivyopo DIAMOND PLATNUMZ na VANESSA MDEE ukisha maliza kuchagua shuka chini kabisa utakuta sehemu kitufe kimeandikwa VOTE.
Bonyeza hapo utakuwa umesha piga kura yako. Page itabadilika itakuandikia Thank you for survey. Copy and paste Link yako then piga kura tena mara nyingi uwezavyo.
**
Jinsi ya kupiga KURA
Click Link/ website ifuatayo
https://
Ukisha ingia kwenye hiyo link utakuta List nzima ya vipengele bonyeza kwa kuchagua vipengele alivyopo DIAMOND PLATNUMZ na VANESSA MDEE ukisha maliza kuchagua shuka chini kabisa utakuta sehemu kitufe kimeandikwa VOTE.
Bonyeza hapo utakuwa umesha piga kura yako. Page itabadilika itakuandikia Thank you for survey. Copy and paste Link yako then piga kura tena mara nyingi uwezavyo.
0 comments:
Post a Comment