Tuesday, July 14, 2015

Rihana Aonyesha Chuchu zake Hadharani


MWANADADA mrembo mwimbaji wa RnB, Rihanna, 27,juzikati alitokelezea akiwa amevaa shati kubwa na kuonekana kituko kwa watu wengi.
Mbaya zaidi, demu huyo asiyeishiwa na vituko, alikuwa amefungua vishikizo karibu vyote vya shati hilo huku akiwa hajavaa blazia, hatua ambayo ilisababisha sehemu ya matiti yake kuonekana.
Kingine ni kwamba nguo hiyo ni ya kiume lakini kumbe alikuwa akionyesha mtindo mpya wa mavazi.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger