Mchungaji huko South Africa anayeitwa Penuel Mnguni amewashawishi waumini wake kula nyoka wakati wa huduma kanisani na wakamtii.
Kutokana na ripoti tulizonazo,mchungaji huyo anasema kwamba hao nyoka watabadilika kuwa chocolate wakati unatafuna. Madai hayo yalikua yanatokana na mahubiri kuhusu imani, ambapo alitangaza kuwa ana 'mamlaka' ya kubadilisha kila kitu na kuwa chohote na kikamtii kwasababu ya mamlaka yetu.
Miezi michache iliyopita, mchungaji huyo huyo aliripotiwa kuwa aliwaambia waumini wake wavue nguo wakati anawakanyaga kanyaga. huu ukombozi wa aina gani?!!!!
Source:ReportGhananews.com
0 comments:
Post a Comment