Diamond akisikiliza maswali kutoka kwa waandishi wa habari. |
SIKU chache baada ya kurejea chini akiwa na tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa kiume (Best Live Act), mfalme wa muzi wa Bongo fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewashukuru Watanzania kwa moyo wa upendo waliouonesha kwa kumpigia kura na kumuwezesha kutwa tuzo hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari mema leo ndani ya Hoteli ya Ntansoma jijini Dar, pia msanii huyo aliitaka serikali na makampuni binafsi kuwaunga mkono wasanii wachanga wanaotamani kuutangaza muziki wetu katika anga la kimataifa kutokana na kile alichokiita ugumu na changamoto nyingi.
0 comments:
Post a Comment