Jeshi la polisi Kanda
Maalum ya Dar es Salaam limesema limefanikiwa kuwakamata majambazi watano
wanaodaiwa kuhusika na tukio la uvamizi katika kituo cha polisi cha Stakishari
kilichopo Ukonga. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman
Kova amesema majambazi hayo yamekamatwa Mbagala ambapo katika tukio hilo pia
wamekamata pia fedha shilingi milioni 170 na bunduki 16 miongoni mwao ni zile
zilizoibiwa katika kituo cha Stakishari.
Monday, July 20, 2015
BREAKING NEWS!! Yale majambazi yaliyovamia Kituo cha polisi Stakishari na kuua,yakamatwa
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment