
Ujio wa msanii huyo kutoka Marekani umechagizwa na mienendo na mwendelezo wa wasanii kutoka Bara hilo kupendendelea kufanya matamasha yao barani Africa. Siku kadha zilizopita tulimshuhudia RICK ROSS the BIG BOSS akiachia show ya nguvu ndani ya jiji ya DAR ES SALAAM
Huku waganda wakieendelea kuusubiri kwa hamu ujio wa rapa huyu machachari wakenya nao watapata fursa ya kumuona msanii wa Rasggae Jah Cure ambaye na yeye atafanya show nchini Kenya mnamo December 1 mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment