Wednesday, November 6, 2013

HUDDAH AMTUKANA PREZZO MARA BAADA YA KUPIGWA KIBUTI....ADAI PREZZO NI M@L@YA KAMA MBWA KOKO..!!

 
X girlfriend wa Prezzo Huddah Monroe amemchafua vibaya mshikaji wake wa zamani  kwa  kumfananisha  na  mbwa  jike  asiyechoka  kuhaha....

Ugomvi huo ulianza baada ya Prezo kuweka picha hii ( chini )  kwenye instagram  ikiwa na caption zinazosema “Funny how sme past dnt wanna be tense……welcome 2 my future @chaggabarbie #MySize #GodIsInControl #UnRulyPreStar #Rapcellency”.


 
Huddah Monroe alishindwa kuvumilia na kuamua kutoa comment nzito inayosema :

“Una future gani wewe? Mwanaume mzma hela hauna, @Prezzo254 , Broke as he’ll still living under ya moms roof…..Wacha kujiaibisha, sitaki nikuaibishe mbwa koko. Respect yourself!”.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger