Monday, November 11, 2013

"SIKU HIZI SITUMII ZANA KWASABABU NATAFUTA MTOTO"....AUNTY EZEKIEL

Sura ya mauzo katika sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amefunguka kuwa alikwenda Dubai kwa mumewe Sunday Demonte kwa ajili ya kusaka mtoto kwani kwa sasa hatumii kinga kwa sababu anahitaji kuitwa mama.
Akistorisha na Ijumaa Wikienda mara tu baada ya kutia maguu kwenye ardhi ya Jakayaland mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo alilazimika kurudi mapema kutokana na msiba wa rafiki yake kipenzi aliyemtaja kwa jina moja la Sofia, Aunt alisema kuwa kwa sasa muda umefika wa kuzaa.
Aunt Ezekiel akiwa na mumewe Sunday Demonte.
  
Hata mume wangu anatamani sana mtoto, tumekaa na kukubaliana juu ya ishu hiyo hivyo muda wowote naweza kuwa mjamzito, japo siwezi kuweka wazi kama ni tayari au bado kuepuka wanga,” alisema Aunt.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger