Wednesday, October 9, 2013

VIDEO: UKATILI!! MADEREVA WA BODABODA WAMFUNGA MTU KAMBA NA KUANZA KUMGONGA KWA ZAMU,INASIKITISHA....



Huu  ni  unyama  uliopitiliza.Tumezoea  kuyaona  matukio  kama  haya  yakitokea  huko  Nigeria.Leo  hii  tunajiona  kwa  macho  yetu  hapa  hapa  nchini  Tanzania.
 
Huu ni unyama walioufanya madereva boda boda kwa kijana ambaye haikuweza kujulikana mara  moja  kuwa kosa lake ni nin.

Kijana huyu amefungwa mikono kamba na madereva boda boda wanamshambulia kwa zamu kwa kumgonga .

Tazama Video yenyewe hapa chini  kisha  toa  maoni  yako
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger