Wednesday, May 8, 2013

VIDEO: DIAMOND APIGWA DENDA KWA LAZIMA JUKWAANI......MREMBO AGAWA PENZI KWA DANCER AKIDHANI NI DIAMOND...


video


Jamani kina dada mbona mnajidhalilisha kiasi hicho!! ni pombe ulilewa au kitu gani!?? ....

Au  ndio mambo ya "NATAKA KULEWA"  hayo ukaamua ummwagie radhi mtoto wa mwenzio kilazima, au huna habari KAMA MCHUMBA WA MTU HUYO DADA!!?? 


ALAFU nimesikia kuna mdada kaenda kulala na dancer wa DIAMOND akizani ni DIAMOND MWENYEWE biatchhh
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger