Wednesday, May 8, 2013

DOWNLOAD NA SIKILIZA NYIMBO MPYA YA NICK MBISHI AKIMFANANISHA NEY WA MITEGO NA MALAYA ANAYEJIUZA MANZESE.....!!



KATIKA kile kilichoonekana kuwa ni mwendelezo wa BIFU nzito iliyopo baina ya wasanii wawili wa BONGO FLEVA NICK MBISHI na NEY WA MITEGO....... Awali NEY WA MITEGO alishawahi kutamka hadharani kuwa yuko tayari kukodishia NIKKI MBISHI saloon ya kusuka nywele ili awe anasuka nywele kama mwanadada,

HALI ya kuashiria mwendelezo wa BIFU hiyo ni pale MSANII wa bongo Fleva NIKKI MBISHI alimpopigilia msumari wa moto kwenye BIFU hiyo nzito ameamua kutoa wimbo wa kumkashifu NEY wa MITEGO kwa kumfaananisha na DEMU au amalaya anaejiuza manzese....

SIKILIZA WIMBO HUO HAPA CHINI...
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger