Tuesday, May 14, 2013

UPDATE: WANAFUNZI WA SHULE YA MANZESE WAMEPAGAWA NA "MAPEPO"....30 WAMEANGUSHWA CHINI MUDA HUU....

Wanafunzi wa shule ya secondary manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo na kusema a maneno yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti:

Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese aliyeanguka na kuweweseka.

Mpaka sasa haijafahamika chanzo cha wanafunzi wa shule hiyo kukimbia ovyo,kuanguka na kuweweseka. Wadau  wa  mambo ya giza wanadai  ni  NGUVU ZA KICHAWI
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger