Híki ndicho kilichomponza Ney wa Mitego jioni katika show yake ya Mbagala Zakhen ni; Aliposema Chid Benz katoboa pua au c ridhiki? Na wavuta sigara wote ni Matahira.Hapo ndipo raia fans wa Chid benz na Wavuta fegi wakalianzisha.Palikuwa hapatosh amesepa hana viatu na watu wameumia na kuibiwa.
0 comments:
Post a Comment