Monday, May 13, 2013

HUYU NDIYE KIONGOZI WA CHADEMA ALIYEPIGWA RISASI JIJINI MBEYA....

Katibu mwnezi wa chadema wilaya ya mbeya vijijini Jackson Mwasenga ambaye pia ni mwenyekiti wa Kitongoji cha mzalendo kijiji cha Ndola mjini Mbalizi akiwa katika Hospitali ya Mbalizi Ifisi akipata matibabu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger