Thursday, May 9, 2013

BAADA YA SUGU SASA AFANDE SELE NAE ATANGAZA NIA YAKE YA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA...

BAADA ya kimya kingi hatimaye aliyewahi kuwa mfalme wa Ryhmes AFANDE SELE amefunguka na kudai ya kuwayuko mbioni kuchukua kadi kwaajili ya kugombea Ubunge katika uchaguzi Mkuu ujao utakaofanyika mwaka 2015 kupitia Tiketi ya CHADEMA kama alivyofanya mwanamziki mwenzie JOSEPH MBILINYI kupitia chama chake cha sasa cha CHADEMA....

Afande ameomba wakazi wa Mkoa wa Morogoro kumpa sapoti ya kutosha ili aweze kuingia mjengoni pindi itakapofika tarehe ya Uchaguzi....

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger