Saturday, April 27, 2013

Tz Maisha Magumu! Dogo ajificha kwenye “chassis” ya basi kutoka Dar mpaka Dodoma..!!

Hali za maisha zinawalazimisha watu kufanya mambo ya hatari kabisa kwa uhai wao.

Pichani ni kijana mwenye umri wa miaka 14 akitoa maelezo baada ya kusaidiwa kutoka kwenye chassis ya basi alilokuwa amejificha tangu Dar es Salaam mpaka Dodoma.


Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger