Saturday, April 27, 2013

NAY WA MITEGO AONESHA BASTOLA ANAYOMILIKI na GARI LAKE JIPYA LA tsh milion 35..Angalia PICHA....!!

29ddba2cae6b11e2aeda22000a1f973b_7

Mwaka 2013 ni mzuri kwa rapper Nay wa Mitego. Licha ya kuwa na hit single hewani, Muziki Gani aliyomshirikisha Diamond, rapper huyo amenunua ndinga mpya aina ya Mark X yenye thamani ya shilingi milioni 35. Kama hiyo haitoshi, hitmaker wa Nasema Nao, amejihami pia kwa kununua bastola.


Nay akiwa na bastola yake

Nay ameshare picha hizo kwenye Instagram na Facebook ambapo miongini mwa picha za gari lake ameandika, ‘My new car. Mark X, Zic z wat I nid.” Mwaka huu Nay ametumiwa kwenye show nyingi za Airtel na Vodacom ambazo huenda zimemwingizia mkwanja wa kutosha.

d07e1cfaae6b11e2b09522000a1f9363_7
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger