Tuesday, April 23, 2013

"KILA NINAPOFANYA MAPENZI HUWA NAJUTA".....NIFANYEJE?


Poleni na kazi, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, na nimechumbiwa. Tatizo langu ni kwamba sijawahi kujisikia hamu ya kufanya mapenzi na wala huwa sitamani kufanya ngono, lakini huwa napenda kufanya mapenzi japokuwa hamu haipo kabisa na hivyo huwa naumia kwani kufanya mapenzi bila ya kuridhika na wala kusikia raha ni kazi

Wakati mwingine huwa najutia kitendo nilichokifanya yaani najuta kufanya mpenzi, Nifanyeje ili na mimi niweze kufika kileleni kwani wasichana wengine wanasema wanasikia raha sana...Naomba mawazo yenu...
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger