Wednesday, April 17, 2013

Ndugai apotezea Serukamba kutolewa nje ya Bunge na polisi..!!

Jana Spika wa Bunge alipiga mkwara mzito kwa wabunge wote,kwa kusema Mbunge yeyote atakayetoa matusi LAZIMA atolewe Nje ya mjengo na Polisi,Kabla hata wiki haujapita Serikamba (MB) wa Chama Tawala (CCM) ameporomosha matusi,Jioni hii hii wakati kikao cha Bunge kinaanza Mh.Wenje kaomba Mwongozo ili utaratibu ufuatwe na Serukamba atolewe Nje ya mjengo LAKINI mpaka dakika hii, Ndugai kalinyamazia suala hilo.Kwa mtindo huu HAKI Iko wapi???
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger