Wednesday, April 17, 2013

Diwani wa CCM anayetuhumiwa kwa mauaji ya vongozi wa TLP atiwa mbaroni...!!

Diwani wa CCM Kata ya Mabila Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera Christian Songambele amesomewa mashitaka ya mauaji ya watu wawili ktk mahakama ya Wilaya ya Karagwe.Anadaiwa akiwa na wenzake wawili waliwaua Denis Damian(Mkt wa Kitongoji cha Nyakatete kupitia TLP na Katibu wake Johnbosco Damian.Nyuma yake ni ofisa wa Polisi
Click image for larger version.   Name: kaudo.jpg  Views: 0  Size: 69.5 KB  ID: 90303

Click image for larger version.   Name: SAM_5088.JPG  Views: 0  Size: 74.6 KB  ID: 90304
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger