Tuesday, April 9, 2013

LORI LA MAFUTA CHUPUCHUPU KUDONDOKA MTO WAMI.

Lori la mafuta likiwa limening'inia katika daraja la mto Wami baada ya tela lake kukatika.
Wananchi na wasafiri wakiwa eneo la tukio kushuhudia ajali hiyo iliyosababisha foleni ndefu.
Wanausalama wakiwa eneo la tukio kuweka mambo sawa.

Ajali hii ilitokea eneo la mto Wami baada ya tela la lori la mafuta kukatika na kusababisha lori hilo kuponea chupuchupu kuzama katika mto huo.
Mpaka lori hilo linaondolewa kwenye eneo la ajali, abiria walikuwa wamekwama kwa muda wa zaidi ya saa sita ambapo kwa pande zote mbili watu walilazimika kusubiri lori hilo.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger