“Nilipata maumivu makali sana hadi ikabidi tuahirishe kuigiza filamu ya Big Mama Afrika lakini baada ya kuchanjwa na kuwekwa dawa ya ‘jiwe la nyoka’ nilipata nafuu kidogo ila kwa sasa naendelea vizuri,’’ alisema Jengua.
Kabla ya tukio hilo, staa huyo alipata ajali nyingine ya kuteleza mtoni na kuangukia jiwe, hali iliyosababisha azirai kwa muda wa saa mbili kabla ya kupatiwa matibabu.
0 comments:
Post a Comment