Sunday, April 28, 2013

"TELL CONGRESS TO STOP FUNDING THE KILLER TANZANIAN GOVERNMENT"....HUU NDIO UJUMBE ULIOZAGAA KWENYE MABANGO YA VITUO VYA USAFIRI HUKO NCHINI MAREKANI....!!

Nimepita kwenye mitaa ya hapa Washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street[adams morgan]. Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya CCM huko Tanzania. Ni picha za akina mwangozi, mauaji ya morogoro, mauaji kule songea, na arusha. Nimeona watu wengi wanasema hii Tanzania si inchi ya amani hii imetoka wapi tena?.

Kuna mwingine akasema imebadilika sana. Tunachotakiwa ni kupiga simu au kumweleza congress man wako kuhusu hii issue. Tupate ukweli wake.

HII NI HATA RI SANA..
 
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger