Saturday, March 30, 2013

"NAZIPENDA PESA ZAKE LAKINI SIMUHITAJI KIMAPENZI KWASABABU SIO HANDSOME, NIFANYEJE??"....CLARA AOMBA USHAURI....!!

naitwa clara nina mcumba wangu ambaye ananigaramia kwa mambo yote hapa chuoni ila tatizo sio handsome alafu ni mzee ananizidi miaka kama 10 hivi!Lakini sa hivi nimepata serengeti boy handsome lakini hela hana kama yule mbaba! mi ningependa kuwa na mpenzi mmoja ambaye ndo huyu handsome lakini nahofia sitapata hela za matanuzi tena na siku yule mzee akindua kuwa nawachanganya ataniacha! nimeshindwa nifanyeje sababu hela napenda na huyu handsome nampenda vilevile! naombeni ushauri wenu jamani
PICHA YA KIMWANA CLARA KATIKA POZI


Naitwa clara nina mcumba wangu ambaye ananigaramia kwa mambo yote hapa chuoni ila tatizo sio handsome alafu ni mzee ananizidi miaka kama 10 hivi!Lakini sa hivi nimepata serengeti boy handsome lakini hela hana kama yule mbaba! mi ningependa kuwa na mpenzi mmoja ambaye ndo huyu handsome lakini nahofia sitapata hela za matanuzi tena na siku yule mzee akindua kuwa nawachanganya ataniacha! nimeshindwa nifanyeje sababu hela napenda na huyu handsome nampenda vilevile! naombeni ushauri wenu jamani
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger