Tuesday, March 12, 2013

HUU NDIO MCHORO WA SURA YA MUUAJI WA PADRI MUSHI ULIOTOLEWA NA JESHI LA POLISI ZANZIBAR...!!

Jeshi la polisi Zanzibar limetoa mchoro wenye taswira ambayo inasadikiwa kuwa ndiyo sura ya muuaji wa padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Zanzibar aliyeuwawa mwezi uliopita akijiandaa kuingia Kanisani ili kuongoza ibada.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger