Thursday, March 14, 2013

BREAKING NEWS: HATIMAYE KANISA KATOLIKI LAMTEUA CARDINAL JORGE MARIO BERGOGLIO KUTOKA ARGENTINA KUWA PAPA MPYA....!!

Newly elected Pope Francis, Cardinal Jorge Mario Bergoglio of Argentina appears on the balcony of St. Peter's Basilica at the Vatican
 Baada ya tetesi za hapa na pale pamoja headlines nyingi kuonekana kuuzungumzia mchakato mzima wa kumtafuta papa mpya , hatimaye kabisa katoliki limemteua CARDINAL JORGE MARIO BERGOGLIO KUTOKA ARGENTINA  Kuchukua mikoba ya papa BENEDICT XIV ambaye alijiuzulu mwishoni wa mwezi uliopita..

PAPA JORGE MARIO BERGOGLIO atakuwa ni raia wa kwanza kutoka Latini ya America kuvivaa viatu vya upapa .  
Maswali Mengi yanakuja kwani wadadisi wa mambo ya ndani wanafikiria kuhusu hatma ya papa huyo mpya huku umri wake wa miaka 76 ambayo miaka miwili pungufu ya PAPA mstaafu benedict XIV (78),

MTANDAO HUU UNAWAPONGEZA WAKATOLIKI KOTE DUNIANI KWA KUWEZA KUKAMILISHA  ZOEZI HILO ZITO LA KUMCHAGUA PAPA MPYA AMBAYE NDIYE KIONGOZI WA NGAZI YA JUU KWA KANISA HILO....." HONGERA PAPA CARDINAL JORGE MARIO BERGOGLIO"
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger