Wednesday, February 20, 2013

VIDEO:MKASA MWANACHUO ALIYENASWA AKICHEZA UCHI HOSTEL....AIBU...!!

Huu ni mkasa wa mwanachuo wa kike aliyekutana na tapeli aliyejifanya yeyey ni mzungu yuko marekani.Baada ya kuzungumza kwa sms wakati wanachati ndipo mzungu huyo alipomuuliza mwanachuo huyo kama anaweza kuvua nguo na kucheza uchi huku akimwangalia kupitia webcam,na kisha kutoa hadi ya kumtumia kiasi cha fedha baada ya mwanafunzi huyo kufanya hivyo.mwanachuo alifikiri anachati na mzungu kweli  kumbe alikua tapeli.kijana huyo alitumia uhuni wa kuweka picha ya mzungu ili aweze kumpata dada huyo kirahisi .Baada ya dada kukubali kucheza nusu uchi ,ndipo kijana huyo alimrekodi na kuposti video iyo ikimwonesha binti huyo akicheza nusu utupu

ANGALIA VIDEO YENYEWE HAPO CHINI 
 
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger