Wednesday, December 12, 2012

MWILI WA KICHANGA WAOKOTWA JALALANI, MASHAHIDI WAANGUA VILIO...!!

 MWILI WA KICHANGA HICHO, UKIWA UMEFUNIKWA NA KITENGE CHA MWANAMKE ALIYEHUSIKA KUKITUPA KITOTO HICHO
 HAPA MWILI WA KICHANGA HICHO UKIONEKANA BAADA YA KUONDOLEWA KITENGE
 BAADHI YA WAKAZI WA KATA YA IYELA MTAA WA MAPAMBANO WAKIWA NA HUZUNI KUBWA BAADA YA KUFIKA ENEO KILIPOTUPWA KICHANGA HICHO
 MWENYEKITI WA MTAA WA MAPAMBANO EXSON MWAKALOBO AKIWASILIANA NA JESHI LA POLISI KWA AJILI YA HATUA ZAIDI ZA UCHUNGUZI
 HAPA MWILI UKIONEKANA KWA UKARIBU ZAIDI
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger