Tuesday, November 27, 2012

WANAWAKE WATEMBEA 'UCHI' NCHINI TOGO KUISHINIKIZA SERIKALI!!



KITUKO kikubwa kimtokea huko Nchini TOGO ambapo wananchi nchini humo waliandamana huku wakiwa UCHI wa mnyama kwa kuishinikiza SERIKALI yao kuwaachia huru wandishi wa habari ambao walikamatwa hivi karibuni.


Wanachi hao wameonyeshwa kukerwamno na mwenendo mzima wa RAIS  wa nchi hiyo bwana President Faure Gnassingbé kwa kitendo cha kuwanyanyasa wananchi pamoja vyombo vya habari vya NCHI Hiyo.




Maandamano makubwa yamepangwa kufanyika tena mwishoni mwa wiki hii ambapo hii sasa inategemewa kuwa mbaya zaidi ambapo hadi wanaume inasadikika kuhusika katika mgomo ujao kwa kuwaunga mkono wanawake nchini humo kwa kuvua nguo na wao!!
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger