Sunday, October 21, 2012

Lord Eyez awa teja, amwibia Ommy Dimpoz vitu vyake kwenye GARI!!!






Jamani hii ni Aibu kwa wasanii Wetu Kufanya vitu vya Aibu kama hivi sasa sijui ndio Lord Eyez kawa Teja maana tunasikia kuwa anatumia madawa ya kulevya na vitendo kama hivi wamafanya Mateja ...Aibu sana Jamani ...Napenda uimbaji wa Lord Eyes lakini sasa amafikia Pabaya Jamani....Mdau unasemaje kuhusu Hilo....?
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger