Aunty Ezekiel alitamani angeenda na mwavuli kujikinga na mvua ya hela
iliyomnyeshea juzi kwenye birthday ya kutimiza mwaka mmoja ya mtoto wa
Aunty Ezekiel na Mose Iyobo. Ni Diamond ndiye aliyesababisha mafuriko ya
noti yaliyomfanya muigizaji huyo apagawe! Check video hiyo ujionee
mwenyewe.
Monday, May 23, 2016
Video: Diamond Anyesha Mvua ya Hela Kwenye Birthday ya Mtoto wa Aunty Ezekiel
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment