Tuesday, May 3, 2016

Update: Mtoto Mchanga Aliyetolewa Kwenye Vifusi vya Jengo Lililoanguka Nairobi,Mapya Yagundulika

Mtoto wa mwaka mmoja na nusu aliyeripotiwa kuokolewa kwenye lile jengo lililoporomoka Nairobi kumbe ni mtoto wa miezi 7 na ameokolewa siku nne baada ya jengo kuanguka.

Red Cross ya Kenya wamesema mtoto huyo alikutwa kwenye kifusi hicho ndani ya ndoo amefungwa kwenye blanketi.
Wanasema alionekana ana kiu sana ila hana majeraha yoyote yanayoonekana,alikimbizwa hospitali kwa matibabu. Originally alikua reported kuwa na umri wa mwaka mmoja na nusu.


Mwandishi wa BBC Nairobi anasema uokoaji wa mtoto huyo ni muujiza uliokua unahitajika sana wakati juhudi za uokoaji zikiingia siku ya nne.
 
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger