Aaron Ally(Dj Aaron Tanzania)Mratibu wa‘All-stars
Students Awards Akiongea Kwenye Kipindi cha Morning Trumpet kuelezea
tuzo hizo.
Dj
wa zamani wa Clouds FM, Aaron, yeye na Team yake(Ms Chiku Lweno, Mwl.
Dany Mtanga) wameanzisha Tuzo walizoziita All-stars Students Awards. Hizo
ni tuzo zitakazotolewa kwa wanafunzi wa shule za sekondari A-level na
O-level za Afrika Mashariki.Alhamisi hii Dj Aaron alialikwa kwenye
kipindi cha Morning Trumpet cha Azam TV kuongelea tuzo hizo
ambazo zitakazofanyika jijini Dar es Salaam.
Aaron
amesema tuzo hizo zina dhumuni la kuwapa hamasa wanafunzi wa shule za
Afrika Mashariki. Tuzo hizo zitatolewa kwa wanafunzi watakaofanya vizuri
kwenye mitihani ya kidato cha nne na sita. pia na walimu husika ambao
ni chachu ya wanafuzi ambao wamefanya vizuri kwenye hayo masomo.
Tuzo hizo zitaaangalia namba moja wote waliongoza katika nchi zote za Africa Mashariki,
Masomo
yakayotolewa tuzo ni Kiswahili, Hesabu, Fizikia, Kemia, Bailojia na
Kiingereza. Mchakato wa tuzo utaanza katikati ya mwezi wa sita.pia
Special Talents, Michezo na Shule bora
0 comments:
Post a Comment