Mwigizaji wa Tanzania ambaye ni mpenzi wa zamani wa mwimbaji Diamond Platnumz, Wema Sepetu
ameonyesha wazi anaungana na mamilioni ya Watanzania wengine
wanaomsupport mwimbaji huyo ambaye ni Mtanzania pekee anaewania tuzo ya
kituo cha TV cha Marekani BET.
Wema Sepetu amepost kwenye page yake ya Instagram na kusahau yaliyopita na kusisitiza uzalendo kwanza ‘Uzalendo ndio unaotakiwa, Tanzania kwanza vingine baadae ama nene? vote vote vote’
0 comments:
Post a Comment