Thursday, May 26, 2016

Huyu Ndiye Mpenzi wa G-Nako Aandika Ujumbe Huu Mzito


Yasinta Juma ni ubavu wa rapper G-Nako na hakuna ubishi kuwa ndiye sababu kubwa ya tabasamu na mkali huyo. Leo ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa, Yasinta amemuandikia ujumbe huu:
 
“When I met you I had no doubt in my heart that we were destined to meet and fall in love. You’re my once in a lifetime kind of love,my soulmate, mshikaji wangu,baba mwenyekiti wangu,Mr.OG wangu, baba yeyoo…… I love you, I’ll love you and choose you over and over again because you are my HAPPY ENDING,” ameandika Yasinta.
 
“Nimeshafika baba, kuchomoka hapa labda mtu aje aninyanyue kwa tractor/winch na hato wezaa….Na nakaba mpaka penalty namba zote nacheza. Heheheeeeee……..Happy birthday GEORGE WANGU…… UNAPENDWA SANA na namshukuru mama kwa kuniletea duniani roho yangu,Duh..nitaharibu sasa maana maneno hayaishi, be blessed always love….HAPPY BIRTHDAY MY LOVE once again.”
 
Happy Birthday G Warawara. Tazama zaidi picha za love birds hao.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger