Wednesday, May 25, 2016

Birthday ya ‘Tiffah’ wa Diamond yaanza kuandaliwa miezi 3 kabla


Mtoto wa staa wa muziki nchini, Diamond Platnumz, Tiffah atatimiza mwaka mmoja August 6 mwaka huu, ambapo tayari familia yake imeanza kufanya maandalizi ya kusherekea sherehe ya mtoto wao kutimiza mwaka mmoja.


Kupitia ukurasa wa instagram wa Tiffah ambao unaendeshwa na wazazi wake, umetoa ujumbe huu kwa kampuni za mapambo:
My 1st Royal birthday is loading. Kindly tag the best event planner/decor personnels that you’d like to see plan and manage my bday party

Wadau na mashabiki mbalimbali wa Diamond na Zari, wanasubiria kwa hamu kushuhudia tukio hilo la aina yake, huku kukiwa hakuna taarifa rasmi kwamba sherehe hiyo itafanyikia wapi.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger