April 25 2016 siku moja baada ya mbunge wa Jimbo la Mikumi Joseph Haule a.k.a Prof Jay kutoa msaada wa mabomba yenye thamani ya zaidi ya Tsh Milioni 10 za kitanzania katika kitongoji cha Ruaha,alilazimika kutembelea wahanga wa mafuriko wa kijiji cha Changalawe kilichopo ndani ya jimbo lake na kuangalia uharibifu uliojitokeza.
0 comments:
Post a Comment