Mtandao wa Kinshasa-makomba.com umetoa shutuma kuwa mwimbaji Papa Wemba
aliyefariki wiki iliyopita kwa kuanguka jukwaani ghafla hakufariki kwa
kifo cha kawaida bali amewekewa sumu kwenye mic aliyekuwa
akiimbia.Mtandao huo umekwenda mbali zaidi na kuweka video ikionyesha
tukio zima jinsi alivyobadilishiwa mic na kuwekewa yenye sumu.
Angalia video hapa chini
Angalia video hapa chini
0 comments:
Post a Comment