Tuesday, April 19, 2016

Rais Magufuli kumwapisha Balozi Mteule Mheshimiwa Chikawe Leo asubuhi



Itakumbukwa kuwa leo(Jana) asubuhi tarehe 18 Aprili, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Mheshimiwa Mathias Meinrad Chikawe kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan.
 
Tunapenda kuwataarifu kuwa Balozi Mteule Mathias Meinrad Chikawe ataapishwa kesho(leo) tarehe 19 Aprili, 2016 saa 3:00 Asubuhi, Ikulu Jijini Dar es salaam.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
18 Aprili, 2016
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger