Ule muda wa kutisha na kukuacha mdomo wazi wakati mshindi wa dunia wa mchezo wa kusurf aliposhambuliwa na samaki hatari aitwae papa wakati wa mashindano umerekodiwa. Australian surfing legend Mick Fanning alipambana na papa huyo kwa kumpiga kwa nyuma.
Mshindi huyo wa dunia wa mara tatu,aliangushwa kutoka kwenye 'board' yake muda mchache tu baada ya kuanza mashindano hayo ya J-Bay open in South Africa. Waokoaji kutoka kwa papa huyo walifika kwenye maji kabla hajafanikiwa kumdhuru. Walioshuhudia wanasema Fanning alipona kwasababu alifight back.
Fanning kabla ya shark attack
Fanning baada ya kutoka kwenye maji
0 comments:
Post a Comment