Sunday, July 19, 2015

Shilole na Nuhu Mziwanda Waachana Rasmi..Shilole Abwatuka Haya 'Mwanaume Hata Umfanye nini Haridhiki'


Upande wa Pili huko kwa Kina Shilole na Nuhu Mziwanda Mambo si Shwari Jana Usiku wakati wengine tuko busy na Tuzo za MTV ..Mwanana Shilole Alipost Ujumbe Huu Ukiashiria yeye na Nuhu Mziwanda Mapenzi Basi Tena.....

Mwanaume hata umfanyie nini haridhik lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika'ila sasa kama gari limewaka'aka babu weeee kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu'Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZi
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger