Sunday, July 19, 2015
Diamond Platnumz na Davido Ngoma Droo Tuzo za MTV
Wanamuziki Diamond Platnumz na Davido Wameibuka Videdea Baada ya Wote Kushinda Tuzo Moja Moja Katika makundi Tofauti ....Mashabiki wengi Africa Macho yalikuwa kwa hawa watu wawili kuona yupi atachukua tuzo nyingi zaidi..lakini wote wamepata tuzo moja moja ...Diamond Amepata ya Mtumbuizaji Bora Africa Wakati Davido Amepata ya Mwimbaji Bora wa Kiume Africa...
Hongera Sana Kwao....
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment