Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na utoaji wa tuzo za MTV ambapo Katika mitandao watu mbalimbali wamepost wakimpa hongera Diamond kwa ushindi huo.Picha hiyo hapo juu imezua maswali mengi kwa mashabiki wa Diamond Platnumz.
Picha hiyo iliwekwa na Babu Tale katika Mtandao wa Instagram na aliandika “Unaweza kudanganya watu kwa mda mfupi..lakini huwezi kudanganya watu wote kwa mda wote..ahsante MTV kwa kutambua kipaji na juhudi zetu“.
Nini Maoni yako kuhusu picha hii, Je ni sawa kwa Diamond Platnumz kuonyesha kidole hicho kwa utamaduni wa kitanzania?

0 comments:
Post a Comment