Thursday, April 18, 2013

Wema: ‘I pray to God anichukue tu, nikapumzike… I’m seriously tired… nimechoka mimi’

Wema  Sepetu  anaonekana  kuumizwa  sana  na  kitendo  cha  Diamond  kumrekodi  wakati  anajitongozesha  kwake  usiku  alipokuwa  na  mpenzi  wake  Penny....
Walipomrekodi, waliisambaza  clip  hiyo  mitandaoni  na  katika  vituo  kadhaa  vya  redio.....
Hii  ni  fedheha  ambayo  nadhani  Wema Sepetu  hataisahau  maishani  mwake ....
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger