Thursday, July 16, 2015

Mwigizaji Riyama Ally Alazwa..AombaMwenye Dawa ya Gonjwa Lake Linalomsumbua Ajitokeza na Kumtibu


Alhamdulilah sijambo kiasi na mshukuru MUNGU NINA MALARIA WADUDU WAWILI na tumbo la chango chamoto nimekiona kwa muda mfupi tu waungwana wangu mwenye dawa nzuri ya tumbo la chango tusaidiane dah nimebebwa wallah nguvu zote kwisha asante sana kwa familia yangu na kwa mume Wangu mtarajiwa @leomysteriotz pia shukran kwa Mikumihospital Mungu awajazekheri ishalah Amin duwa zenu vipenzi vyangu
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger