Hii ni picha ya Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Joyce Ndalichako akionyesha karatasi ya majibu ya mmoja wa watahiniwa wa mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2012, Dar es Salaam jana. Picha na Edwin Mjwahuzi
Wednesday, February 20, 2013
ELIMU YA KIBONGO, MWANAFUNZI ACHORA PICHA YA ZOMBI NA KUANDIKA MASHAHIRI YA TAARAB KWENYE MTIHANI...!!
Hii ni picha ya Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Joyce Ndalichako akionyesha karatasi ya majibu ya mmoja wa watahiniwa wa mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2012, Dar es Salaam jana. Picha na Edwin Mjwahuzi
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment