(Picha na Maktaba)
WATU 49 wameuawa katika milipuko miwili iliyotokea kwenye soko lililopo mjini Gombe, Nigeria wakati watu wakifanya manunuzi kwa ajili ya Sikukuu ya Eid jana jioni.
Soko hilo lilikuwa limefurika watu waliokuwa wakijiandaa kwa ajili ya Sikukuu ya Eid na watu wengi waliopoteza maisha ni watoto na wanawake.
0 comments:
Post a Comment